Kutokea stendi ya Njombe mjini, ofisi za TTCL Njombe zipo uelekeo wa kwenda Songea barabara ya Makambako - Songea baada ya kupita kanisa katoliki Njombe barabara ya kwanza kulia mkabala na mnara wa Vodacom. Pia ofisi zetu zipo mkabala na ofisi za posta Njombe.
Karibu sana tukuhudumie.
Mawasiliano yetu (Contacts)
- Kwa mawasiliano zaidi kuhusu fursa ya kuwa wakala wa T-PESA,wakala wa vocha na kuwa freelancer wasiliana nasi kupitia namba:-
Telephone No. | 026 278 2024 | |
Mobile No. | 0735 778 300 | |
0738 262 351 |
- Kwa msaada kuhusu bidhaa zetu,kuharibika kwa bidhaa kwa malekebisho ya ufundi wasiliana kwa namba:
Telephone No. | 026 278 2099 |
- Wasiliana nasi muda wote wa kazi kuanzia saa 0730 (moja na nusu) asubuhi hadi 1630 (kumi na nusu) jioni kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa. Na jumamosi kuanzia saa 0730 (moja na nusu) asubuhi hadi 1330 (saba na nusu) mchana.
No comments:
Post a Comment
Weka comment yako hapa